CHIRWA AONGEZA IDADI YA MAJERUHI YANGA
Mshambuliaji Obrey Chirwa ameondolewa kwenye idadadi ya wachezaji watakao safiri na timu kesho jumapili kwenda shelisheli kwaajili ya mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa dhidi ya wenyeji St. Louis.
Kulingana na taarifa iliyo tolewa na ofisa habari wa Yanga Dismasi Ten Chirwa alipata maumivu ya misuli kwenye mchezo dhidi ya majimaji.
Mbali ya Chirwa pia Kiungo Thabani Kamusoko ameondolewa kwenye orodha ya wachezaji watakao safiri kutokana na kutokua fiti licha ya kwamba amepona majeraha yake.
Wachezaji 20 na viongozi 10 nane wabenchi la ufundi wana tarajiwa kuondoka kesho kuelekea shelisheli kuikabili St. Louis jumatano febuary 21
WACHEZAJI WATAKAO SAFIRI
Kipa
π Ramadhani Kabwili
π Beno Kakolanya
π Youthe Rostand
Beki
π Hasani Kessy
π Juma Abdul
π Gadieli Michael I
π Endrwo Visenti
π Kevini Yondani
π Saidi Juma
π Nadri Harob. (C)
π Pato Ngonyani
Viungo
π Papy Tshishimbi
π Rafaeli Saudi
π Yusufuphu Mhilu
π Godfrey Mwadhiuya
π Saidi Bakari
π Juma Mahadhi
Washambuliaji
πEmanueli Martin
π Ibrahimu Ajibu.
Pia wachezaji
π Maka Edwardian
π Matheo Antoni
π Baruani Yahaya
Hawana Leseni za kucheza mashindano ya kimataifa.
Majeruhi
π Amisi Tambwe
π Donald Ngoma
π Abdala Shaibu
π Yohana Nkomola
Hawa wataendelea kukosekana kwenye kikosi kutokana na kua na majeruhi wa muda mrefu
No comments:
Post a Comment