Shurikisho la soka barani ulaya leo limetoa orodha ya timu zitakazo pambana katika hatua ya 16 bora kwenye michuano ya europa league
Droo ya michezo hiyo ilifanyika mapema leo huku ikishuhudia miamba ya italia Ac milan ikipangwa na washika mtutu wa london arsenal
Michezo ya michuano hiyo inatarajiwa kupigwa mapema kabisa mwezi march 8 mwaka huu 2018
No comments:
Post a Comment