Friday, 12 January 2018
Rafaeli Daudi Alivo Mtesa Kipa URA
Hii ndio penati bora kuliko zote katika muchuano ya mapinduzi cup
Penati hiyo iliyo pigwa na kiungo kinda ndani ya kikosi cha yanga Rafael Daudi ni miongoni mwa penaati bora kabisa katika michuano hiyo ya mapinduzi.mechi hii ulimalizika kwa yangu kutolewa kwa goli 5 kwa 4
No comments:
Post a Comment