Saturday, 27 January 2018
Hili Ndilo Goli Bora La Mwaka 2018 VPL
Timu ya soka ya yanga jioni hii imeibuka kidedea kwa kuichapa azam fc magoli mawili kwa moja
Magoli ya mchezo huo yaliwekwa kambani na wa chezaji shaaban idi chilunda kwa upande wa azam huku mavao ya yanga yakiwekwa wavuni na mshambuliaji wao hatar obrey chirwa na goli bora kabisa la ushindi likifungwa na Gadiel michael mbaga
No comments:
Post a Comment