Sunday, 28 January 2018
YANGA YALITEKA JIJI
Kufuatia ushindi mzito ambao club ya soka ya yanga walioupata jana kwa kuichapa Azam fc kwa mabao 2 kwa moja jiji zima lilizizima furaha kila kona
Hii inakuja kutokana na kiwango kizur kilichooneshwa na timu hiyo licha ya kuwa ilikua na wachezaji 7 majeruhi kabla ya mechi hiyo hali iliyopelekea maelfu ya washabiki kudhania huenda jana yanga ingepoteza mchezo huo
No comments:
Post a Comment