Saturday, 27 January 2018
COTINHO AANZA VIZURI LA LIGA
Kiungo mshambuliaji aliyehamia karibuni katika klabu ya soka ya hispania akitokea liverpool mbrazil Andreas Cotinho ameanza vyema kuitumikia klabu yake mpya ya barcelona mbopo katika mchezo wake wa kwanza alifanikiwa kucheza kwa kuelewana zaidi na wachezaji wenzie
Mchezo huo kati ya barcelona ulimalizika huku wenyeji yaani barcelona wakiibuka na ushindi wa goli 2 kwa 0
No comments:
Post a Comment