Liverpool wana nia ya kumsaini Riyad Mahrez huku mshambuliaji huyo wa
Leicester City raia wa Algeria akitarajiwa kufanyiwa uchunguzi wa
kiafya leo Jumapili. (Bein Sports)
Liverpool wako tayari kufanya
hima kujaza pengo lilioachwa na Philippe Coutinho ambaye ameelekea
Barcelona huku wing'a wa Monaco Thomas Lemar 22, akiwa nambari moja
katika orodha yao.

No comments:
Post a Comment