Liverpool wana nia ya kumsaini Riyad Mahrez - VAN NEWS

Latest

Sunday, 7 January 2018

Liverpool wana nia ya kumsaini Riyad Mahrez

Liverpool wana nia ya kumsaini Riyad Mahrez huku mshambuliaji huyo wa Leicester City raia wa Algeria akitarajiwa kufanyiwa uchunguzi wa kiafya leo Jumapili. (Bein Sports)
Liverpool wako tayari kufanya hima kujaza pengo lilioachwa na Philippe Coutinho ambaye ameelekea Barcelona huku wing'a wa Monaco Thomas Lemar 22, akiwa nambari moja katika orodha yao.

No comments:

Post a Comment