Timu ya soka ya yanga inatarajia kushuka uwanjani hapo keaho jumamosi februari kumi kupambana na timu ya ST.louis ya nchini sheli sheli
Wachezaji ambao wataukosa mchezo huo hapo keaho ni pamoja na donald ngoma ,Abdala shaibu na yohana nkomola.hayo yameaemwa hivi punde na msemaji wa yanga dismas ten alipokutana na waandishi wa habar katika ukumbi wa mikutano wa klabu ya yanga
Friday, 9 February 2018
New
WACHEZAJI WATAKAO IKOSA MECHI YA KLABU BINGWA KESHO TAIFA
About Chesko Lwayo
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment