MANJI APETA MKUTANO WA YANGA - VAN NEWS

Latest

Sunday, 14 January 2018

MANJI APETA MKUTANO WA YANGA

Aliyekua mwenyekiti wa klabu ya soka ya yanga Yusuph manji amependekezwa kwa kauli moja na wajumbe waliohudhuria mkutano wa namna gani klabu hiyo ya yanga iendeshwe.hayo yamejitokeza leo ambapo wajumbe hao walipoulizwa swali wapo tayari kuanza mabadiliko wakiwa na mwenyekiti wao huyo wote kwa pamoja waliunga mkono hoja iyo.
Kabla ya kujiuzuru jwake mwenyekiti huyo klabu take hiyo ilikua na mafanikio kadha wa kadha ikiwa ni pamoja na kutwaa ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara maarufu kama VPL mara tatu mfululizo

No comments:

Post a Comment