Faida 11 za Kitunguu Swaumu katika mwili - VAN NEWS

Latest

Sunday, 7 January 2018

Faida 11 za Kitunguu Swaumu katika mwili


  1. Huondoa sumu mwilini
  2. Husafisha tumbo
  3. Huyeyusha mafuta mwilini (kolestro)
  4. Husafisha njia ya mkojo na kutibu U.T.I
  5. Hutibu amoeba, minyoo na Bakteria wengine
  6. Huzuia kuhara damu (Dysentery)
  7. Huondoa Gesi tumboni
  8. Hutibu msokoto wa tumbo
  9. Hutibu Typhoid
  10. Huondoa mabaka mabaka kwenye ngozi
  11. Hutibu mafua na malaria

No comments:

Post a Comment