Tuesday, 9 January 2018
Ajali Ya Moto Dar
Majira ya saa 3 usiku huu ajali ya moto imezuka katika eneo la buguruni kwa mnyamani kufuatia kupasuka kwa bomba la gesi taarifa kutoka kwa mashuhuda zinasema nyumba zimeharibika kutokana na ajali hiyo lakini hadi tunapoandika habar hii atujapata taarifa yuu ya vifo hata hivyo taarifa za awali zinaeleza kikosi cha zima moto kimefanikiwa kuzima moto
No comments:
Post a Comment