Ajali Ya Moto Dar - VAN NEWS

Latest

Tuesday, 9 January 2018

Ajali Ya Moto Dar


Majira ya saa  3 usiku huu ajali ya moto imezuka katika eneo la buguruni kwa mnyamani kufuatia kupasuka kwa bomba la gesi  taarifa kutoka kwa mashuhuda zinasema  nyumba zimeharibika kutokana na ajali hiyo lakini hadi tunapoandika habar hii atujapata taarifa yuu ya vifo hata hivyo taarifa za awali zinaeleza kikosi cha zima moto kimefanikiwa kuzima moto


No comments:

Post a Comment