TAIFA STARS KUCHEZA MICHEZO MIWILI YA KIRAFIKI - VAN NEWS

Latest

Sunday, 4 March 2018

TAIFA STARS KUCHEZA MICHEZO MIWILI YA KIRAFIKI

Wakati wowote kuanzia hivi sasa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Salumu mayanga anatarajia kutangaza kikosi chake ambacho kitacheza michezo miwili ya kirafiki ya kimataifa 
Hii inafuatana na Ratiba ya FIFA ambapo kuanzia machi 22 ligi zote zitasimama kupisha mechi za kimataifa kwa mujibu wa shirikisho hilo la soka uli mwenguni
Kwa mujibu wa taarifa za kuaminika kutoka shirikisho la soka nchini TFF taifa stars itacheza mchezo wake wa kwanza mnamo machi 22 ugenini dhidi ya Algeria na mchezo wa pili utapigwa Hapa Tanzania ambapo stars itacheza na Congo tarehe 27 mwezi huu


No comments:

Post a Comment