YANGA WALIVYOITAWALA IRINGA - VAN NEWS

Latest

Saturday, 3 February 2018

YANGA WALIVYOITAWALA IRINGA

Timu ya soka ta yanga imefanikiwa kuichapa timu ya soka lipuli fc maarufu kama wanapaluhengo huko iringa kwa mavao 2 kwa 0 mabao ya yanga yalipachikwa wavuni na papy kabamba tshishi na la pili likifungwa na pius buswita
Mchezo huo mkali ulishuhudiwa na wakazi wa mikoa mbali mbali ya nyanda za juu kusini

No comments:

Post a Comment