MTIBWA VS YANGA YASOGEZWA MBELE
-Mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara Vodacom Premier League kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Mabingwa watetezi Klabu ya Yanga umesongezwa mbele na utapangiwa tarehe ili kuipa Muda klabu ya Yanga kufanya maandalizi ya mchezo wa klabu Bingwa Afrika dhidi ya Township Rollers ya Botswana mchezo utaochezwa Marchi 06 katika dimba la Uwanja wa Taifa Dar.
-Kusongezwa kwa mchezo huu sasa Yanga itacheza mchezo wao keshokutwa Jumatano dhidi ya Ndanda na kusubili mchezo dhidi ya Mabingwa hao wa Botswana.
Ratiba ya Mechi za Yanga Sc
28 February 2018
16:00 Ndanda Fc vs Yanga Sc
TBA Mtibwa Sugar vs Yanga Sc
06 March 2018
16:00 Yanga Sc vs Township Rollers
10 March 2018
16:00 Yanga Sc vs Kagera Sugar
16 March 2018
16:00 Township Rollers vs Yanga Sc
24 March 2018
16:00 Yanga Sc vs Stand United
No comments:
Post a Comment