Tuesday, 30 January 2018
YANGA ILIVYOTINGA 16 BORA
Klabu ya soka ya yanga hii leo imefanikiwa kutinga katika hatua ya 16 bora katika mashindano ya shirikisho maarufu kama Azam Sport Federation Cup ASFC kwa kuichapa timu ya Ihefu fc ya mbeya kwa mikwaju ya penati kufuatia kutoka sara ya kufungana bao moja kwa moja ndani ya dakika tisini.
Mchezo huo ulimalizika kwa yanga kupata jumla a penati 4 huku mahasimu wao ihefu wakiambulia 3.
No comments:
Post a Comment