Hii leo katika mitandao yakijamii kume trend orodha ya wachezaji wanaoongoza kwa kununuliwa zaidi duniani
Mchezaji ambaye anaongoza katika orodha hiyo ni nyota wa brazil anaekipiga katika klabu ya soka ya brazil NEYMAR JUNIOR
Akifuatiwa na mu Argentina LIONEL MESI ambae pia anakipiga katika klabu hiyo ya barcelona kama orodha inavyoonesha hapo chini
No comments:
Post a Comment