Hii inafuatana na Ratiba ya FIFA ambapo kuanzia machi 22 ligi zote zitasimama kupisha mechi za kimataifa kwa mujibu wa shirikisho hilo la soka uli mwenguni
Kwa mujibu wa taarifa za kuaminika kutoka shirikisho la soka nchini TFF taifa stars itacheza mchezo wake wa kwanza mnamo machi 22 ugenini dhidi ya Algeria na mchezo wa pili utapigwa Hapa Tanzania ambapo stars itacheza na Congo tarehe 27 mwezi huu
No comments:
Post a Comment